Burudani/Entertainment

Diamond akabidhiwa bendera

Tarehe January 11, 2017

unset

Msanii wa muziki nchini Diamond Platnumz amekabidhiwa bendera ya Tanzania na waziri wa habari sanaa na michezo mh Nape Nnauye.

Waziri Nape alimkabidhi msanii huyo bendera kwa lengo la kuweza  kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya #AFCON2017 nchini Gabon.

Ambapo Diamond anatarajiwa kutumbuiza katika ufunguzi wa mechi ya michuano hiyo.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni