Burudani/Entertainment

Ali Kiba,Nandy wang’aa Tuzo za AFRIMA

Tarehe November 13, 2017

Mwanamuziki Ali Kiba.

Wasanii wa Muziki nchini Tanzania Ali Kiba pamoja na Nandy wamepata tuzo katika tuzo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS ( AFRIMA) mwaka 2017.

Katika tuzo hizo Ali Kiba ameshinda tuzo mbili na Nandy ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike upande wa Afrika Mashariki.

Tuzo za Ali Kiba ni Best Artist or Group in African RnB and Soul ambayo ameshinda pamoja na Rapper wa Nigeria M.I ambaye walifanya pamoja Smash Hit ya ‘Aje” na tuzo nyingine ni Kolabo Bora ya Afrika ambapo smash hit ya “Aje” imechukua.

 

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni