Burudani/Entertainment

Ali Kiba atambulisha ‘Tour’ za Kimataifa

Tarehe January 7, 2017

officialalikiba_85

Mwanamuzik Ali Kiba ametanagaza kufanya ziara ya kimataifa ambayo ata anzia nchini Afrika Kusini mwezi Februari.

Ali Kiba ambaye mwaka 2016 ulikuwa mzuri kwa upande wake baada ya kuchukua tuzo 13 za kitaifa na kimataifa akichuana vikali na Mwanamuziki Diamond  kutoka lebo ya WCB.

“Happy New Year. It’s time to meet my fans across the world. I start with South Africa in February 2017! . KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA.

Contact Exclusive Agent & PR @matthewmensah for additional bookings & endorsements in SA/Southern Africa. #MTVEMABestAfricanAct#AlikibaSATour2K17#KingKibaWorldTour2K17 #KingKiba,” aliandika Alikiba kupitia facebook yake.

1

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni