Burudani/Entertainment

Ali Choki aanika sababu za kujitoa Twanga Pepeta

Tarehe April 8, 2018

Mwanamuziki Ali Choki.

Msanii wa muziki wa dansi, Ali Choki  amesema hawezi tena kurudi katika bendi yake ya zamani kwa kuwa haina mvuto kama zamani.

Kauli ya Ali Choki inafuatia kuachana na bendi ya  Twanga Pepeta na kujiunga na bendi mpya ya The Mafik Band.

The Mafiki Band inamilikwa na msanii wa bongo fleva  maarufu kama  Shetta

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni