Afya

Ugonjwa wa Ebola waibuka Congo

Tarehe May 9, 2018

Ugonjwa wa umetajwa kuibuka kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

Kwa mujibu wa wizara ya afya  nchini humo  imesema  kuwa kuna visa viwili vilivyothibitishwa na watu 17 waliofariki.

Wataalam wa maradhi ya Ebola kutoka wizara ya afya nchini Congo leo Jumatano wanatarajiwa kuambatana na wale wa shirika la afya duniani WHO kwenda jimboni Equateur baada ya kuthibitishwa kuwepo kwa visa hivyo.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni