Afya

Shamsa Ford atoa ya moyoni Chid kuoa Mke wa pili

Tarehe June 13, 2017

 

Shamsa Ford akiwa na Chidi Mapenzi.

Shamsa Ford akiwa na Chidi Mapenzi.

Muigizaji wa Filamu nchini, Shamsa Ford anayetamba kwa filamu ya Chausiku amesema ni vigumu kwa mume wake ‘Chidi Mapenzi’ kuoa mke wa pili ingawa dini inamruhusu kwa sababu wote wawili kila mmoja anamuonea wivu mwenzake.

Akiongea na kituo kimoja cha Runinga,Shamsa Ford amesema hawezi kabisa kwani katika wanawake watano wenye wivu duniani yeye ni mmoja wapo.

“Nahisi nitakufa, yaani siwezi na yeye mwenyewe anajua siwezi jinsi ninavyompenda hivyo itakuwa ngumu kumpa ruksa ya kuoa mke wa pili “

Shamsa ni miongoni mwa wasanii wa filamu waliokuwa katika ndoa wengine ni Riyama na Lio Mysterio pamoja na Frola Mvungi na H BABA.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni