Afya

Faida za kitunguu maji kiafya

Tarehe December 27, 2016

 

img_20150824_133148

Kitunguu maji hupikwa kama mboga na hujulikana kama ni aina moja wapo ya kiungo muhimu katika mapishi.

Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa makubwa sana katika afya ya mwanadamu.
Zifuatazo ni faida za kiafya za kitunguu maji.

Juisi ya Kitunguu husaiduia kuua vijidudu vya kifua kikuu zipo tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina uwezo wa kuua vijidudu vinavyo sababisha maradhi ya kifua-kikuu (Huua baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake)

Husaidia kuupa  mwili nishati na nguvu, Kitunguu maji kikiliwa kikiwa kimechomwa, huongeza nguvu na nishati mwilini na huimarisha misuli ya mwili.

Huufanya uso kunawiri, Kitunguu maji kikichomwa na kisha kuliwa huufanya uso kuwa mweupe, mn’gavu na wenye kunawiri.

Kitunguu maji huongeza hamu ya kula, pia  kitunguu husaidia kulainisha tumbo pamoja na kusaidia kuondoa tatizo la kukosa choo.
 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni